Tuesday, July 7, 2020

DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.





1. DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.
$—€—Your Simple Online Shop (YSOS 77).




UTANGULIZI KWA UFUPI: 
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu  kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.

YALIYOMO:
  1. Duka la mtandaoni ni nini?
  2. Kila kitu kinaweza kuuzwa kwa mtandao wa Intaneti 
  3. Upatikanaji wa wateja wako wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp [Kwa biashara yako yoyote].
  4. Kuweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [—Ili litembee kwa urahisi sana—mtandaoni].
Bei: Tsh 6,000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 25.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

UNANUFAIKAJE NA UTUMIAJI WA WHATSAPP—KIUCHUMI?




[Kwa upande wako] Unanufaikaje na Whatsapp kiuchumi? 








1. [Kwa upande wako] Unanufaikaje na Whatsapp kiuchumi? Katika maisha yako.



→Unafahamu kwamba Whatsapp ina mamilioni ya watumiaji. Wanaotumia Whatsapp ni watu. Na ni watu ambao pia tunawahitaji kwenye biashara kama wateja. 

Halafu jambo lingine la kutambua ni kwamba; [mawasiliano ya moja kwa moja] namba za watu hao, zinaweza kuonekana na kupatikana moja kwa moja—tukitumia Whatsapp.



→Watu wengi bado mpaka sasa, hawajui namna nzuri (mpya) iliyo sasa ya kunufaika vizuri na uwepo [upatikanaji] wa watu wengi namna hii—wanaopatikana kwa urahisi kabisa kupitia namba zao za Whatsapp.




→Kila biashara au huduma yoyote [yoyote uliyonayo au yoyote unayoweza kuwa nayo hata leo], tayari ina wateja wanaoweza kupatikana moja kwa moja kupitia Whatsapp.




→Uwezekano wa kuwa na watu wa kuwaeleza chochote [tena hata kwa utulivu], kuhusu biashara yako upo. Na maelekezo ya kutengeneza mipangilio mizuri ya kuwafaidi watu hawa yapo. Ni wewe tu kuamua kuyapata na kuyatumia  na kuona matokeo yake mazuri na ya uhakika au kupuuzia.




→Kuna mambo machache tu na muhimu kuyafahamu, ndani ya muda mfupi sana—kwa maelekezo na njia rahisi. Mambo ya kukuingiza kwenye ulimwengu mwingine. Mambo yatakayokupa uelekeo mpya, wa kubadili hali ya biashara yako yoyote uliyonayo [—na yoyote unayotaka  kuwa nayo leo].




Kitendo cha kuwa mtumiaji wa Whatsapp; hautakiwi kuhangaika sanĂ , kupata wateja au wafuasi wa kile unachofanya mtandaoni—chenye tija na manufaa makubwa kiuchumi na kijamii, kwenye maisha yako na maisha ya wengine. 




→Mbinu zilizopo hivi sasa ni zile za kukusanya [kwa urahisi uliopo sasa] na kuweka lebo, namba zote za washirika (Participants) wote wa vikundi vyote vya Whatsapp unavyokuwepo na hata baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake, kisha kutumia njia na mbinu nzuri ya 'P2P Sales Prospecting'; kuwatambua na kuwafikia wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu hawa. 




→Ni njia na mbinu bora zenye kukupa ufanisi mkubwa wa upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia Whatsapp.




→★••—Unatumia mbinu gani kunufaika kiuchumi na idadi hii kubwa ya watu wanaoweza kufikiwa kwa urahisi namna hii?


  • Hivi sana; Whatsapp inakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni mbili (2 billion) duniani.
  • Afrika pekee ina zaidi ya watumiaji milioni 525.
  • Tanzania nzima inakadiriwa kuwa na watumiaji wa Whatsapp zaidi ya milioni tisa (more than 9 million).
Programu yetu inalenga kukupa uwezo mzuri wa kuwatambua na kuwafikia wateja wako wengi [wa uhakika]—miongoni mwa mamilioni ya watu waliopo Whatsapp [Inchini kwako, Barani kwako na Maeneo mengine Duniani (kule wanakutumia Whatsapp pia)] kwa urahisi unaoleweka.



Tumekutana na baadhi ya watu pia wanaosema "Mimi sina biashara yeyote inayoweza kunipatia wateja kupitia Whatsapp—hivyo mnavyosema."




Sikiliza, kuna mambo kadhaa machache tu ambayo ukiyafahamu, utaweza kuona jinsi unavyoweza kuitumia Smartphone yako; kuanza kubuni na kutengeneza bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital Products) na kuziuza kwa watu hawa waliopo Whatsapp—kwa mtaji wa vitu viwili tu. Kwa mtaji wa kifurushi cha intaneti na sehemu ya muda wako wa kubuni na kutengeneza moja ya aina kadhaa za bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital Products). 




Bidhaa hizi ni rahisi sana kuziuza mtandaoni; kwa sababu unaziuza katika fomati za kielektroniki (softcopy/software). Kwa sababu hiyo, mteja wako anaipakua (download) mtandaoni na kukulipa kwa njia rahisi sana—popote ulipo.




Na miongoni mwa bidhaa nyingi sana, rahisi zinazouzika sana mtandaoni; ambazo pia ni rahisi sana kuzidizaini—hata kwa smartphone yako tu ni picha za Graphics. Kama haufahamu Graphics ni nini, angalia na usome kwa ufupi HAPA.




Picha hizi zina soko sana, wanaozitengeneza ni wachache ukilinganisha na uhitaji wake wa kila siku. Wateja wake ni wengi sana.


VITABU UTAKAVYOPEWA BAADA YA KULIPIA PROGRAM YETU;


NAMBA NYINGI ZA WASAPU ZILIZOSEVIWA—KWA AJILI YAKO.






WATEJA WAKO WENGINE WENGI NA WA UHAKIKA WAPO MTANDAONI.


INATEGEMEA SANA VILE UNAVYOUONA MTANDAO WA INTANETI, NA KUTAMBUA MBINU INAYOKUFAA; KATIKA KUWAFIKIA, KUWATAMBUA NA HATA KUWAANDAA WATEJA WAKO WENGI NA WA UHAKIKA—KWA BIASHARA YOYOTE ULIYONAYO.

Katika jambo hili muhimu sana, kwenye biashara na huduma nyingine zinazoweza kutolewa kupitia intaneti; tumeweza kugundua njia nyingine nzuri zaidi. 

Tumezidi kuishirikisha kwa watu wengi wanaohitaji kuwafikia watu wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu tulionao kwenye Messenger ya WhatsApp—kwa ufanisi mzuri.


Utaweza kunufaika kwa namna hii:

1. Unapewa namba za watu 500 (za kuanzia) zilizopo Whatsapp.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••

2. Unapewa mbinu moja nzuri ya kuwa na namba nyingi za watumiaji wa whatsapp [kufikia idadi yoyote unayotaka], bila kuendelea kuwepo kwenye vikundi vingi vya Whatsapp.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••

3. Utazidi kupewa namba nyingi zaidi kadiri unavyohitaji.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••

4. Unaelekezwa [—kwa audio, kitabu cha PDF na kikundi cha Whatsappnamna nzuri ya kutumia mbinu ya P2P-Sales Prospecting; kwa namna nzuri inayoendana na taswira ya Whatsapp.

KUMBUKA: Hii ndiyo njia yenye ufanisi mkubwa; katika kushirikisha na kutangaza biashara yako kupitia whatsapp.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••


Programu hii kwa sasa inapatikana kwa Tsh 5,500 tu.

Karibu sana.


Simu: 0738609426/ 0743517138 —Whatsapp.

Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com































































SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX


Rafiki yangu, naamini kabisa kuwa; wewe ni mtu muhimu sana, ikiwa tutakuwa na mitazamo chanya.

Mimi najua na kuamini kuwa katika biashara yangu yoyote nahitaji watu, tena watu ambao watafahamu vizuri uhalisia  wa namna nzuri na ya uhakika, vile wanavyoweza kufurahia huduma na bidhaa zangu; kwa furaha na amani.

Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia, ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye.

Naitwa EMMANUEL Kimanisha. Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya.

Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba;
—Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. 

—Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. 

Napenda kutanguliza mazingira mazuri ya kufahamiana na kufahamishana.

Nitafurahi sana ikiwa utajitambulisha kwangu pia; kwa kueleza, unajihusisha na biashara au huduma gani. Vilevile hata kuhusu upatikanaji wako. 

Naomba nijitambulishe kwa ufupi sana, mengine tutaendelea kujuzana na utanijuza yale unayoona ni vyema kutambulisha kwangu; mimi ninajihusisha na biashara na utoaji wa huduma zifuatazo, kwa kupitia intaneti—popote ulipo:

1. Nina-dizaini [GRAPHICS] picha za matangazo, mabango ya nukuu, makava ya vitabu, business card, picha za utambulisho Whatsapp, logo za aina tofauti tofauti na nyingine nyingi 
[TSH 3500 hadi 15000]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

2. Nakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) kwa haraka, kwa Transcriptional Typing 
[Tsh 350/p] [ ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

3. Ninakusaidia kusevu namba nyingi sana za watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka 
[Tsh 30/c]; kwa kupitia EO Gadgets 77. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

4. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—miongoni mwa watu wengi waliopo Whatsapp. [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 5,500/mafunzo]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

5. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna ya kutengeneza (ku-dizaini) picha za graphics—kwa kutumia App nzuri sana inayofanya kazi vizuri hata kwenye Smartphone [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 4,500]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

6. Pia kuna maarifa mengine niliyoyaweka kwenye programu fupi fupi ili zipatikane kwa bei ndogo sana 
(Tsh 3500 hadi 7,000).  [ANGALIA hapa—mtandaoni]



—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
Unaweza pia kutembelea blogu zangu hizi hapa:.
https://zsm77.blogspot.com 
[Royal Business Mind]→HAPA

https://eol777.blogspot.com 
[Emmanuel Online Library]→HAPA

https://orm-88.blogspot.com 
[Ofisi Rahisi ya Mtandaoni].→HAPA




Kazi zangu huwafikia watu kwa e-mail au Whatsapp—katika fomati za kielektroniki (softcopy). Bei zangu ni ndogo sana; kuliko ulivyodhani.




MAANA YA GRAPHICS NA MAARIFA YA KUZITENGENEZA/KUBUNI.

PROGRAMU YETU YA KWANZA:

MAANA YA GRAPHICS NA MAARIFA YA KUZITENGENEZA/KUBUNI.



Pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao hawafahamu 'graphics' ni nini. Kama unafahamu ni vizuri pia. Ila kama haufahamu naomba nitoe ufafanuzi wake kwa ufupi.

Picha za graphics ni picha zote ambazo zinabuniwa/kutengenezewa kwa kupambwa kwa maandishi yenye muonekano unaovutia pamoja na muunganiko wa picha nyingine nyingi/kadhaa zinazoweza kuwekwa kwenye picha moja—ili ionekane kuvutia zaidi.

Kuna mifano mingi sana ya picha za graphics. Baadhi ya mifano ya picha za aina hii ni: picha za matangazo mbalimbali ya biashara, kampuni au bidhaa fulani [zinazoweza kubandikwa kwenye makopo ya bidhaa husika, au kutembezwa na kuwekwa maeneo mbalimbali mtandaoni n.k.].

Mifano mingine ni picha zinazotumika kutangaza uwepo wa matukio mbalimbali kama vile tamasha, mikutano ya injili, uchaguzi na matukio mengine mengi. Vile vile graphics nyingine ni makava ya vitabu, business cards, picha za utambulisho kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, Whatsapp na YouTube [zilioongezewa madoido]. Lakini pia mifano mingine ni logo za tovuti au blogu, picha zilizo nje ya daftari tunazonunua kila siku [unaweza kuona zimepambwa kwa maandishi tofauti tofauti na picha ya mtu kuwekwa mahali hapo pia]. 

Iko mifano mingi sana. Hivi sasa, karibu kila mahali tunapokuwa kuna picha ya graphic karibu yetu. Hii ni kwa sababu picha hizi zinahitajika na kutumika maeneo mengi sana.

Picha zozote unazoziona zimetengenezwa kwa kuunganisha picha tofauti tofauti mahali pamoja na hata kuhusisha uwepo wa maandishi yenye muonekano unaovutia zaidi, hizo ndizo tunaziita graphics.

Hebu angalia, hata hizi picha tatu ulizoziona kwenye posti hii unayoisoma saa hizi ni picha za graphics.
Mifano mingine tumeiweka kwenye posti mojawapo ya blogu yetu, unaweza kuziangalia kwenye blogu hiyo kwa kufungua HAPA.

Sasa basi, unapoziona picha hizo tambua pia kuwa kuna namna ya kuzitengeneza. Kuna programu na Apps za aina tofauti tofauti zinazoweza kutumika kutengeneza picha hizi. Zipo Apps zinazofanya kazi vizuri kwenye kompyuta, lakini pia zipo zinazofanya kazi vizuri kwenye simujanja (smartphone) pia. Ikiwa unatamani kufahamu namna nzuri ya kuzitengeneza picha hizo, unahitaji tu kupata maarifa ya msingi na kuanza kuzitengeneza.

Nilisukumwa kuanza kuwaelekeza watu namna ya kubuni na kutengeneza picha hizi kwa sababu; Picha hizi zinahitajika sana, na idadi ya watu wanaotengeneza ni ndogo ukilinganisha na uhitaji wake. Ukipata maarifa haya muhimu utakuwa miongoni mwa watu wanaotengeneza picha hizi na kuziuza kwa watu wengi sana. 

Ili kuwafikia watu wengi zaidi, nimetoa pia na maelekezo ya namna ya kuwafikia watu wengi [wateja wa Graphics] waliopo mtandaoni—kwa urahisi sana kupitia Whatsapp.

Tumetumia audio za maelekezo ya hatua kwa hatua, tuna kitabu cha PDF (softcopy) cha maelekezo yote [kwa lugha ya kiswahili] na maelekezo ya moja kwa moja—kwenye kikundi chetu cha Whatsapp (Multifarious Knowledge House 04). 
BEI: Tsh 4,500.
FOMATI: Audio & PDF.
IDADI YA KURASA [PDF]: 31.
UPATIKANAJI: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

Ukiwa na shauku kubwa ya kujifunza maarifa ya msingi juu ya jambo hili, utaanza kutengeneza picha hizo ndani ya siku chache mno (siku 5 hadi 7). Hii ni kutokana na mpangilio wetu wa maelekezo haya na njia tunazotumia kukuelekeza. Karibu sana.


UNAHITAJI KUANZA KUJIFUNZA LEO? ILI NDANI YA SIKU CHACHE KWANZIA LEO UWE UMEANZA KUBUNI NA KUTENGENEZA GRAPHICS NZURI, KWA SMARTPHONE YAKO? NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU MOJA KWA MOJA—KWA KUFUNGUA HAPA.

Mifano mingine ya picha hizo iko HAPA.


MAARIFA HAYA YANAPATIKANA KWA NJIA YA WHATSAPP, KWA AUDIO ZILIZOREKODIWA TAYARI (mp3), KITABU CHENYE MAELEKEZO YOTE KWA MSAADA WA PICHA ZA HATUA ZOTE, NA MAELEKEZO YA MOJA KWA MOJA KWENYE KIKUNDI CHETU CHA WHATSAPP (MULTIFARIOUS KNOWLEDGE HOUSE 04) [HAPA].

KUJIUNGA NA KIKUNDI CHA WHATSAPP FUNGUA KWA KIGUSA HAPA [CLICK]

NAMBA NYINGI ZA WHATSAPP; KWA AJILI YAKO.

Ukiwa mtumiaji wa whatsapp, hauna haja ya kuendelea kuhangaika kupata wateja [Kwa Biashara Yoyote Uliyo Nayo]. Hii ni kwa sababu wanaotumia Whatsapp ni watu walewale, miongoni mwao ni wateja wa uhakika wa bidhaa zako.

Baada ya kugundua kuwa; unapokuwa kwenye vikundi mbalimbali vya Whatsapp, unaweza kuziona namba za simu za kila mmoja miongoni mwa washirika wa kikundi (Participants) moja kwa moja, nilifikiria sana suluhisho la mambo matatu:

1. Nawezaje kuwa na njia nzuri na bora ya kuzikusanya na kuzisevu namba nyingi za watumiaji hawa wa Wasapu— kwenye hifadhi ya kudumu (permanent storage)?

2. Nawezaje kuwafikia kwa urahisi sana; watu wengi ambao nitakuwa nimesevu namba zao kwa hiyo njia rahisi—ndani ya muda mfupi?


3. Nitawawekaje alama/lebo zitakazotusaidia kuwafikia kwa mpango na mpangilio unaopimika na kueleweka?


 Niliingia kwenye utulivu wa kuanza kujiandaa na safari ya kunifikisha kwenye suluhisho la mambo hayo. Na hatimaye nikagundua njia nzuri na rahisi ya kukusanya na kusevu namba nyingi za wasapu.

Nimekusanya namba nyingi sana za wasapu na ninawauzia watu mbalimbali; wanaohitaji kuwafikia watu wengi—kupitia Whatsapp.

Biashara yako haiwezi kukosa wateja ukiwa na namba nyingi za watu. Pia bado ninawasaidia watu mbalimbali; kukusanya na kusevu namba nyingi kutoka katika vikundi mbalimbali kule waliko. 

Wanapiga screenshots za orodha ya washirika wa vikundi wanavyotaka kusevu namba zao na kunitumia. Mimi natumia screenshots hizo kusevu namba hizo kwa ajili yao na kuwatumia inbox [zikiwa zimeseviwa].



Ninayo furaha kubwa kukutaarifu kuwa; idadi yoyote ya namba za wasapu unayotaka kufikisha, inawezekana na ukiwa nasi unao uhakika wa wateja wasio na idadi.

Sambamba na hilo, ninaelekeza namna ya wewe mwenyewe kukusanya na kusevu namba nyingi za wasapu—kwa urahisi sana, kwa kutumia smartphone yako.

Faida moja wapo kubwa ya kukusanya na kusevu namba nyingi kwa njia ninazoelekeza ni kwamba; namba hizo hazipotei [hata uki-left/ kuondolewa kwenye vikundi vyote] baada ya kuzisevu. Unabaki nazo siku zote, maana unazitunza kwenye e-mail zako.



Nimalizie kwa kusema;
••—Ikiwa unahitaji kupata namba nyingi sana za wasapu ambazo tayari nimekusanya na kusevu ni Tsh 30 kwa namba moja. Zinatumwa inbox kwako zikiwa zimeseviwa.
Huduma hii inapatikana HAPA [CLICK].

••—Ikiwa unahitaji kupata maarifa (mafunzo) yetu mazuri ya namna ya kusevu namba hizo wewe mwenyewe ni Tsh 5,500/-.
→→→→Utapewa kitabu chetu kizuri chenye maelekezo yote, audio za maelekezo (kwa kila kipengele) na kuunganishwa kwenye kikundi chetu cha Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04].
Kozi inapatikana HAPA [CLICK].



KWA MTAJI WA KIFURUSHI NA MUDA WA ZIADA.


Nafurahi sana kukushirikisha jambo hili zuri. Mwishoni mwa posti hii utaweza kutambua;

1. Mambo manne unayoweza kuanza kuyafanya hata leo; kwa mtaji wa kifurushi cha intaneti na muda wako wa ziada, ukiwa na Smartphone yako—kutengeneza sehemu nzuri ya kipato chako.

2. Upatikanaji mzuri sana wa wateja wengi na wa uhakika miongoni mwa watu wengi waliopo wasapu; kwa kile utakachochagua kuanza kukifanya [kati ya mambo manne ninayokushirikisha hapa].