—★ Namna nilivyoanza na ninavyotengeneza Graphics nzuri rahisi—na hata kuziuza mtandaoni [kwa kutumia Smartphone tu].
Rafiki, ninafuraha sana kukushirikisha jambo hili;
Hatimaye, wewe pia unaweza kuanza leo, ku-dizaini: picha za matangazo, makava ya vitabu, business cards, picha za logo tofauti tofauti, picha [zilizopambwa] za kutumika Whatsapp, Facebook na Instagram na graphics za aina nyingine pia (siwezi kutaja zote hapa).
Maelekezo yote yamewekwa kwenye mpangilio na fomati nzuri za kukusaidia kuelewa kwa haraka [ndani ya siku chache mno, kuliko ulivyodhani].
YALIYOMO (vipengele) KWENYE PROGRAMU HII NI:
i). Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
ii). Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
iii). Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako._
iv). Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
—•••—•••—
Utakapolipia kiasi cha shilingi elfu moja mia tano (4500/-)
- Utatumiwa audio za kila kipengele [inbox kwako].
- Utatumiwa kitabu cha PDF chenye maelekezo yote.
- Na utaunganishwa kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04].—kwa ajili ya kujibiwa maswali yoyote unayoweza kuwa nayo.
Ili kuanza programu hili leo, toa taarifa sasa kwa namba 0743517138 [ipo Whatsapp pia] au unganishwa kwenye kundi (group) letu kwa kufungua HAPA.
No comments:
Post a Comment