Sunday, July 19, 2020

WATEJA WA BIASHARA YAKO—KUPITIA WHATSAPP.

WATEJA WA BIASHARA YAKO—KUPITIA WHATSAPP.


Rafiki, ninafuraha sana kukushirikisha jambo hili;

→Ipo njia na mbinu nzuri (hivi sasa) ya kutengeneza uwezekano mkubwa wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—kupitia WhatsApp.

Biashara yoyote uliyonayo, ina wateja wengi na wa uhakika—miongoni mwa watumiaji wengi wa WhatsApp.

Utaelekezwa ndani ya muda mfupi (siku chache) na mzuri wa kukusaidia kuelewa vizuri sana. Mambo muhimu utakayoyapa hapa ni:

1. Namna ya kusevu namba nyingi [za watumiaji wa Whatsapp kutoka katika vikundi vyote unavyojiunga] kwa urahisi na haraka;
→utaweza kuzitunza namba hizo kwa lebo za vifupisho (Abbreviations) rahisi.

2. Namna ya kutumia mbinu ya P2P-SP; kuwashirikisha na kuwatangazia watu wengi wanaotumia Whatsapp, kwa urahisi kuhusu biashara au huduma yako—kupitia namba ulizotunza [kwa lebo za vifupisho rahisi].

Utakapolipia kiasi cha shilingi elfu mbili mia tano (5,500/-):


  • Utatumiwa audio za kila kipengele [inbox kwako].
  • Utatumiwa kitabu cha PDF chenye maelekezo yote.
  • Na utaunganishwa kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04].—kwa ajili ya kujibiwa maswali yoyote unayoweza kuwa nayo.


Ili kuanza programu hili leo, toa taarifa sasa kwa namba 0743517138 [ipo Whatsapp pia] au unganishwa kwenye kundi (group) letu kwa kufungua HAPA.



No comments:

Post a Comment