—•••—$—
—•••—$—
KUTENGENEZA UHAKIKA WA KUWA NA WATEJA KUANZIA MIA TANO (500)—KILA MWEZI—KUPITIA WHATSAPP.
MAELEZO YA UFAFANUZI MZURI KUHUSU PROGRAMU HII._
Ikiwa unasoma dokumenti hii ninaamini kabisa kwamba; wewe ni miongoni mwa watu wachache, wanaohitaji kupata njia bora zaidi ya kunufaika na upatikanaji mzuri wa wateja wengi—wa uhakika kupitia Whatsapp. Najisikia furaha kukuthibitishia kuwa umefika mahali sahihi.
Katika kuitumia Whatsapp, watu mbalimbali wanaielewa kwa namna tofauti tofauti. Biashara yoyote nzuri hapa duniani inahitaji watu. Siku zote ukifika katika mazingira ambayo unaweza kupata mawasiliano ya watu moja kwa moja, ni rahisi sana kujenga mkakati wa kuwafikia kwa mpango mzuri unaoeleweka; kwa sababu mawasiliano ya watu hao yapo mikononi mwako.
Sifa mojawapo nzuri, kati ya sifa kadhaa za Messenger ya WhatsApp ni kwamba; ukiwa WhatsApp, unaweza kuona na kupata namba za simu za watu mbalimbali—moja kwa moja. Watu wengine hawajatambua namna ya kuitumia fursa hii [ya kuwa na uwezekano wa kupata namba za watu wengi—moja kwa moja].
Watu wengine wanakuwepo kwenye vikundi vingi kabisa vya Whatsapp, lakini bado wanahangaika kutafuta wateja wa biashara zao. Kila biashara uliyonayo [biashara yoyote], kuna wateja wako wengi na wa uhakika kabisa—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp.
Hatuwezi kuamini wala kusema kwamba; watu wote (mamilioni ya watu) wanaotumia Whatsapp, hakuna wanaohitaji huduma au bidhaa zako kabisa. Kwani Whatsapp kama Whatsapp ina ugomvi wowote na biashara yako?.
Watu (binadamu) unaohitaji wawe wateja wako ni walewale. Miongoni mwa wateja wako wengi, wapo pia wanaopatikana kwa urahisi sana kupitia mtandao—na urahisi zaidi sasa upo kwenye Whatsapp [kwa sababu inakupa namba za simu za watumiaji wengi—moja kwa moja].
Natamani sana; uwe miongoni mwa watu wachache wanaojali na kuthamini maelekezo ya siri hizi, ninazotaka kushirikisha kwako. Ukiwa tayari kuyasikiliza kwa utulivu, utabadilisha hali ya biashara yako kwa namna itakayokushangaza sana.
Ili kukuthibitishia kwa vitendo; namna utakavyoweza kunufaika na mpango /programu hii, napenda kukuonyesha orodha ya mambo utakayopata uwezo wa kuyafanya—katika kuingia ulimwengu mwingine kabisa. Ulimwengu utakaoingia ni wa kufahamu na kutumia mbinu bora zaidi za kuongeza ufanisi; katika upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia Whatsapp. Mambo hayo ni:
- Namna ya kutengeneza mfumo wa uhakika wa kuwa na wateja kwanzia 500—karibu kila mwezi [kupitia Whatsapp].
- Kupewa namba za simu 1126 zilizopo Whatsapp—kwa ajili ya kufanya jaribio kwa vitendo—ndani ya siku 20.
- usaidiwa kukusanya na kusevu namba nyingine zaidi [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp].
- Kitabu [softcopy, PDF] chenye maelekezo ya kina—kwa kila jambo linaloelekezwa kwenye programu hii.
Naomba nikupe ufafanuzi kwa ufupi sana; kwa kila jambo nililoliorodhesha hapo juu.
1) Namna nzuri ya kutumia namba za WhatsApp; kutengeneza mfumo wa uhakika wa kuwa na wateja kwanzia 500—karibu kila mwezi.
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Kwanza kabisa utapata maelekezo ya namna ya kutumia mbinu ya kujenga uaminifu na mawasiliano mazuri—kwa watu wengi, ndani ya muda mfupi. Hapa tunaelekeza mbinu moja inaitwa 'P2P Sales Prospecting'. Mazingira ya mtu kukwamini kiasi cha kujisikia huru na kuridhika kununua kwako au kuhudumiwa na wewe ndiyo jambo linatakiwa kutiliwa mkazo—katika kukupatia wateja wengi na wa uhakika—kila siku.
2) Kupewa namba za simu 1126 zilizopo Whatsapp—kwa ajili ya kufanya jaribio kwa vitendo—ndani ya siku 20.
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Tunazo namba nyingi sana za WhatsApp, ambazo tumekuwa tukizikusanya na kuzisevu [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp] —kwa ajili yetu na wateja wetu; ili kurahisisha upatikanaji wa wateja wetu waliopo mtandaoni—kwa kupitia Whatsapp. Hii ni kwa sababu, tunayo njia nzuri na rahisi ya kukusanya na kusevu namba nyingi (zote) za washirika wote, wa vikundi vyote vya Whatsapp unavyokuwemo ndani yake—na baadhi ya vile vikundi usivyokuwemo ndani yake [maelekezo yapo pia].
Kwa jambo hili tutakutumia namba za watu 1126 inbox kwako, zikiwa zimeseviwa tayari. Ili, kwa kufuata maelekezo yetu [yanayotolewa kwa audio zilizorekodiwa tayari, kitabu chetu kidogo (softcopy, PDF) na maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi chetu Whatsapp], uweze kutumia mbinu ya 'P2P Sales Prospecting' kwa vitendo—kupitia namba hizo; ndani ya muda wa siku 20.
Tunakaridiria kuwa ukitumia mbinu hiyo [P2P Sales Prospecting] vizuri, kama tulivyoelekeza; asilimia 44.44 (44.44%) ya hao watu 1126 utakaowafikia, ni watu 500 [44.44% ya 1126 = 500] ambao wanaweza kuwa wateja wako.
Tumeweka siku ishirini (20) za majaribio kwa maana hii; kila siku utatenga muda wa masaa mawili (dakika 120) kuwafikia watu hamsini na sita (56). Utaelewa vizuri kwenye maelekezo ya utumiaji wa mbinu ya 'P2P Sales Prospecting' kwenye namba hizo.
Kuwafikia watu 56 ndani ya masaa mawili ni sawa na kutumia dakika mbili (2 minutes) kwa mtu mmoja. Baada ya siku ishirini, utakuwa umewafikia watu elfu moja mia moja ishirini (1120). Kati ya hao, ndani ya huo mwezi (siku 20 za kufanya hivyo), unaweza kuwa na uhakika wa asilimia 44.44 (watu 500) kuwa wateja wako. Kuna maboresho mengine mengi mazuri tuyoweza kukuelekeza kuyafanya, lakini tunatamani sana uanze kwa jaribio hilo kwanza.
3) Kusaidiwa kukusanya na kusevu namba nyingine zaidi [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp].
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Baada ya kuona manufaa makubwa ya uhakika katika kufuata maelekezo yetu mazuri katika programu hii; utakuwa na kazi moja tu nzuri na rahisi—katika kuingia ulimwengu mwingine kabisa.
Utatakiwa tu kusaidiwa kukusanya na kuhifadhi (kusevu) namba nyingi sana za watumiaji wa whatsapp [idadi unayohitaji mwenyewe] kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp. Hii ni kwa sababu, ukiwa kwenye vikundi mbalimbali vya Whatsapp; namba za washirika wote zinaonekana moja kwa moja, ni wewe tu kutimiza mpango huo wa kuzikusanya na kuzisevu kwenye e-mail yako. Tunayo pia maelekezo ya namna hiyo ya kukusanya na kusevu namba hizo mwenyewe.
4) Kitabu [softcopy, PDF] chenye maelekezo ya kina—kwa kila jambo linaloelekezwa kwenye programu hii.
—••—Kitabu hiki kinakusaidia vipi? Kwanza kabisa kitabu chetu kipo katika fomati ya kielektroniki [softcopy, PDF], kiasi kwamba unaweza kukipata kupitia Whatsapp na kukisoma kwenye simu au kompyuta yako mahali popote ulipo, wakati wowote unapohitaji kufahamu zaidi kuhusu jambo fulani. Kitabu chetu kina kurasa 58 tu, na ndani kuna vipengele tofauti tofauti kulingana na mpangilio wa orodha ya yale yaliyomo. Kina maelekezo yote, kwa kina sana.
Sambamba na hilo, yale yaliyomo kwenye kitabu hicho yametengenezewa audio pia, ambazo tayari zimerekodiwa vizuri (mp3). Kitabu pamoja na audio hizo [za kila kipengele] hutumwa inbox kwako—kwa WhatsApp; Mara tu baada ya wewe kulipia programu hii, kwa kiasi cha shilingi elfu tano mia tano tu (Tsh 5500/-).
Lakini pia baada ya kulipia kiasi hicho, unaunganishwa kwenye kikundi chetu cha Whatsapp; ili uwe unauliza moja kwa moja kwenye kikundi chetu, maeneo unayohitaji kufahamu na kuelewa zaidi. Kikundi chetu cha Whatsapp kinaitwa 'Multifarious Knowledge House 04'.
Ikiwa unahitaji kuianza programu hii, nitaarifu kwa namba 0743517138 au ikiwa kwa wakati huu unatumia WHATSAPP, njoo inbox kwangu moja kwa moja kwa KUFUNGUA HAPA.
BEI: Tsh 5500.
FOMATI: Audio & PDF.
IDADI YA KURASA [PDF]: 58.
UPATIKANAJI: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
~~KARIBU SANA RAFIKI.
~~na kama hauna biashara yoyote ya kukufanya unufaike na uwepo wa wateja wengi na wa uhakika kupitia Whatsapp, unaweza kutueleza pia kwa KUFUNGUA HAPA au kwa namba 0743517138/ 0657178911. Tunayo maelekezo ya jambo rahisi unaloweza kuanza kulifanya [kwa kutumia Smartphone yako][HAPA], na likakupatia wateja wako wa uhakika—mtandaoni, kupitia Whatsapp.
KITABU CHETU ↓↓↓↓↓°
Ukihitaji kujifunza maarifa haya na unatumia Whatsapp hivi sasa, unaweza kutoa taarifa kwa kuja INBOX MOJA KWA MOJA— KWA KUFUNGUA HAPA.
No comments:
Post a Comment