P# 01:
1. DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.

Ni vyema uwe na blogu yako ndogo na rahisi; kwa ajili ya kuweka posti zenye kuonyesha picha na maelezo [kwa ufupi] kuhusu bidhaa zako. Eneo hili liwe ni eneo lako binafsi unapoweza kuwapeleka watu mbalimbali na wakaziangalia bidhaa zako kwenye utulivu. Utaelekezwa pia namna ya au kusaidiwa, kuliweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [yenye picha za bidhaa zako na link zilizofichwa kwenye maneno fulani ya kila bidhaa]. Dokumenti hii [ya PDF, yenye kuonyesha duka lako] itatumika kutembeza duka lako mtandaoni—kwa urahisi.
Popote itakapofika dokumenti hiyo; mteja atakayegusa maneno yenye link ya inbox kwako, ataletwa moja kwa moja inbox kwako [ikiwa ni mtumiaji wa Whatsapp]. Pia inaweza kufichwa link ya eneo lako lingine lolote mtandaoni, kule unataka mteja apelekwe baada ya kugusa maneno fulani kwenye dokumenti hiyo.
YALIYOMO:
- Duka la mtandaoni ni nini?
- Kila kitu kinaweza kuuzwa kwa mtandao wa Intaneti
- Upatikanaji wa wateja wako wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp [Kwa biashara yako yoyote].
- Kuweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [—Ili litembee kwa urahisi sana—mtandaoni].
Bei: Tsh 6000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 25.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
—$—€—Ukihitaji kulipia programu hii kwa ; namba yetu ya malipo ni 0657178911—Emmanuel Kimanisha. .
POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
- Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
- Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]
No comments:
Post a Comment