Tuesday, July 7, 2020

TENGENEZA PICHA NZURI ZA GRAPHICS—KWA SMARTPHONE YAKO




PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.


UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. 
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.

YALIYOMO:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2. Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3.  Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Bei: Tsh 4500.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

No comments:

Post a Comment