Tuesday, July 7, 2020

UPATIKANAJI WA WATEJA WENGI NA WA UHAKIKA—Kwa Whatsapp

WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.
—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).

—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.



UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unaowaona na kuwapata kwa wakati huu].

Utafahamu uhalisia wa tofauti iliyopo kati ya wateja wanaokutafuta wenyewe leo [saa hizi] na wateja wengi na wa uhakika unaotakiwa kuwaandaa mwenyewe, ili wanunue katika siku za usoni.

Wateja wengine, tena wengi, wanaweza kuandaliwa (kutengenezewa mazingira ya kununua) na muuzaji mwenyewe.

Ukiwa na idadi kubwa ya namba za watumiaji wa whatsapp, unao wateja wasio na kikomo.



YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 5,500
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

Maarifa haya yanatolewa kwa urahisi kabisa kupitia Whatsapp. Utakapolipia TSH  elfu tatu (Tsh 5,500/-);

1. Utaunganishwa kwenye kikundi chetu cha Whatsapp [kwa ajili ya maelekezo ya moja kwa moja. —Bila ukomo wa kuwepo.

2. Utatumiwa audio za kila kipengele, inbox kwako (kama ilivyoonyeshwa hapo juu).


3. Utatumiwa [inbox kwako] kitabu chetu kizuri chenye maelekezo yote, na hatua zote kwa msaada wa picha na maelezo.



No comments:

Post a Comment