1. DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.

YALIYOMO:
- Duka la mtandaoni ni nini?
- Kila kitu kinaweza kuuzwa kwa mtandao wa Intaneti
- Upatikanaji wa wateja wako wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp [Kwa biashara yako yoyote].
- Kuweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [—Ili litembee kwa urahisi sana—mtandaoni].
No comments:
Post a Comment