Tuesday, July 7, 2020

e-onlineoffice-11

P#09:           
9. WATEJA WAKO SIYO HAO TU.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Hivi sasa kila kitu au bidhaa ya biashara yoyote uliyonayo inaweza kutangazwa na  kuuzwa kupitia mtandao wa intaneti. Pia zipo huduma nyingi unazoweza kutoa kwa kupitia intaneti. Mtandaoni kuna watu wengi sana na wenye mapendeleo na mahitaji tofauti tofauti [—kuna mamilioni ya watu]. Ukiamua kujifunza njia hizi zenye ufanisi mkubwa katika kuwafikia watu wengi kwa urahisi, utashangazwa sana na matokeo mazuri utakayoyaona. Katika huduma na biashara yoyote uliyonayo, kuna wateja wengi na wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu unaoweza kuwafikia kwa urahisi sana mtandaoni [popote ulipo].

YALIYOMO:
  1. Siri kuhusu wateja wengi wasio na idadi [idadi kubwa mno] mtandaoni.
  2. Namna nzuri ya kuwa na watu wengi wa kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako mtandaoni.
  3. Njia nzuri za kuwatangazia na kuwashirikisha watu wengi biashara yako mtandaoni. →→→Namna ya kuhifadhi (saving) namba za washirika wote wa makundi mbalimbali ya whatsapp. →→→Njia nzuri za kuwatangazia watu uliohifadhi namba zao za wasapu—na faida zake. →→→Kutuma tangazo au taarifa ya mwaliko,kwa watu wako wengi.
  4. Maoni ya uhakika kuhusu maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa halisi zinazoshikika (tangible/physical products) katika maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital products) katika maduka ya mtandaoni.
  5. Duka rahisi linalotembea mtandaoni kwa kubebwa kwenye dokumenti ya PDF.
Bei: Tsh 6000
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 75.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





—$—€—Ukihitaji kulipia programu hii kwa ; namba yetu ya malipo ni 0657178911—Emmanuel Kimanisha. . 


POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]


No comments:

Post a Comment