Tuesday, July 7, 2020

UNANUFAIKAJE NA UTUMIAJI WA WHATSAPP—KIUCHUMI?




[Kwa upande wako] Unanufaikaje na Whatsapp kiuchumi? 








1. [Kwa upande wako] Unanufaikaje na Whatsapp kiuchumi? Katika maisha yako.



→Unafahamu kwamba Whatsapp ina mamilioni ya watumiaji. Wanaotumia Whatsapp ni watu. Na ni watu ambao pia tunawahitaji kwenye biashara kama wateja. 

Halafu jambo lingine la kutambua ni kwamba; [mawasiliano ya moja kwa moja] namba za watu hao, zinaweza kuonekana na kupatikana moja kwa moja—tukitumia Whatsapp.



→Watu wengi bado mpaka sasa, hawajui namna nzuri (mpya) iliyo sasa ya kunufaika vizuri na uwepo [upatikanaji] wa watu wengi namna hii—wanaopatikana kwa urahisi kabisa kupitia namba zao za Whatsapp.




→Kila biashara au huduma yoyote [yoyote uliyonayo au yoyote unayoweza kuwa nayo hata leo], tayari ina wateja wanaoweza kupatikana moja kwa moja kupitia Whatsapp.




→Uwezekano wa kuwa na watu wa kuwaeleza chochote [tena hata kwa utulivu], kuhusu biashara yako upo. Na maelekezo ya kutengeneza mipangilio mizuri ya kuwafaidi watu hawa yapo. Ni wewe tu kuamua kuyapata na kuyatumia  na kuona matokeo yake mazuri na ya uhakika au kupuuzia.




→Kuna mambo machache tu na muhimu kuyafahamu, ndani ya muda mfupi sana—kwa maelekezo na njia rahisi. Mambo ya kukuingiza kwenye ulimwengu mwingine. Mambo yatakayokupa uelekeo mpya, wa kubadili hali ya biashara yako yoyote uliyonayo [—na yoyote unayotaka  kuwa nayo leo].




Kitendo cha kuwa mtumiaji wa Whatsapp; hautakiwi kuhangaika sanĂ , kupata wateja au wafuasi wa kile unachofanya mtandaoni—chenye tija na manufaa makubwa kiuchumi na kijamii, kwenye maisha yako na maisha ya wengine. 




→Mbinu zilizopo hivi sasa ni zile za kukusanya [kwa urahisi uliopo sasa] na kuweka lebo, namba zote za washirika (Participants) wote wa vikundi vyote vya Whatsapp unavyokuwepo na hata baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake, kisha kutumia njia na mbinu nzuri ya 'P2P Sales Prospecting'; kuwatambua na kuwafikia wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu hawa. 




→Ni njia na mbinu bora zenye kukupa ufanisi mkubwa wa upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia Whatsapp.




→★••—Unatumia mbinu gani kunufaika kiuchumi na idadi hii kubwa ya watu wanaoweza kufikiwa kwa urahisi namna hii?


  • Hivi sana; Whatsapp inakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni mbili (2 billion) duniani.
  • Afrika pekee ina zaidi ya watumiaji milioni 525.
  • Tanzania nzima inakadiriwa kuwa na watumiaji wa Whatsapp zaidi ya milioni tisa (more than 9 million).
Programu yetu inalenga kukupa uwezo mzuri wa kuwatambua na kuwafikia wateja wako wengi [wa uhakika]—miongoni mwa mamilioni ya watu waliopo Whatsapp [Inchini kwako, Barani kwako na Maeneo mengine Duniani (kule wanakutumia Whatsapp pia)] kwa urahisi unaoleweka.



Tumekutana na baadhi ya watu pia wanaosema "Mimi sina biashara yeyote inayoweza kunipatia wateja kupitia Whatsapp—hivyo mnavyosema."




Sikiliza, kuna mambo kadhaa machache tu ambayo ukiyafahamu, utaweza kuona jinsi unavyoweza kuitumia Smartphone yako; kuanza kubuni na kutengeneza bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital Products) na kuziuza kwa watu hawa waliopo Whatsapp—kwa mtaji wa vitu viwili tu. Kwa mtaji wa kifurushi cha intaneti na sehemu ya muda wako wa kubuni na kutengeneza moja ya aina kadhaa za bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital Products). 




Bidhaa hizi ni rahisi sana kuziuza mtandaoni; kwa sababu unaziuza katika fomati za kielektroniki (softcopy/software). Kwa sababu hiyo, mteja wako anaipakua (download) mtandaoni na kukulipa kwa njia rahisi sana—popote ulipo.




Na miongoni mwa bidhaa nyingi sana, rahisi zinazouzika sana mtandaoni; ambazo pia ni rahisi sana kuzidizaini—hata kwa smartphone yako tu ni picha za Graphics. Kama haufahamu Graphics ni nini, angalia na usome kwa ufupi HAPA.




Picha hizi zina soko sana, wanaozitengeneza ni wachache ukilinganisha na uhitaji wake wa kila siku. Wateja wake ni wengi sana.


VITABU UTAKAVYOPEWA BAADA YA KULIPIA PROGRAM YETU;


No comments:

Post a Comment