Sunday, July 19, 2020

KU-DIZAINI PICHA NZURI —KWA KUTUMIA SMARTPHONE YAKO.

KU-DIZAINI PICHA NZURI —KWA KUTUMIA SMARTPHONE YAKO.

—★ Namna nilivyoanza na ninavyotengeneza Graphics nzuri rahisi—na hata kuziuza mtandaoni [kwa kutumia Smartphone tu].

Rafiki, ninafuraha sana kukushirikisha jambo hili;
Hatimaye, wewe pia unaweza kuanza leo, ku-dizaini: picha za matangazo, makava ya vitabu, business cards, picha za logo tofauti tofauti, picha [zilizopambwa] za kutumika Whatsapp, Facebook na Instagram na graphics za aina nyingine pia (siwezi kutaja zote hapa).

Maelekezo yote yamewekwa kwenye mpangilio na fomati nzuri za kukusaidia kuelewa kwa haraka [ndani ya siku chache mno, kuliko ulivyodhani].

YALIYOMO (vipengele) KWENYE PROGRAMU HII NI:
i). Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.

ii). Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.

iii). Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako._

iv). Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
—•••—•••—

Utakapolipia kiasi cha shilingi elfu moja mia tano (4500/-)

  • Utatumiwa audio za kila kipengele [inbox kwako].
  • Utatumiwa kitabu cha PDF chenye maelekezo yote.
  • Na utaunganishwa kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04].—kwa ajili ya kujibiwa maswali yoyote unayoweza kuwa nayo.


Ili kuanza programu hili leo, toa taarifa sasa kwa namba 0743517138 [ipo Whatsapp pia] au unganishwa kwenye kundi (group) letu kwa kufungua HAPA.




WATEJA WA BIASHARA YAKO—KUPITIA WHATSAPP.

WATEJA WA BIASHARA YAKO—KUPITIA WHATSAPP.


Rafiki, ninafuraha sana kukushirikisha jambo hili;

→Ipo njia na mbinu nzuri (hivi sasa) ya kutengeneza uwezekano mkubwa wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—kupitia WhatsApp.

Biashara yoyote uliyonayo, ina wateja wengi na wa uhakika—miongoni mwa watumiaji wengi wa WhatsApp.

Utaelekezwa ndani ya muda mfupi (siku chache) na mzuri wa kukusaidia kuelewa vizuri sana. Mambo muhimu utakayoyapa hapa ni:

1. Namna ya kusevu namba nyingi [za watumiaji wa Whatsapp kutoka katika vikundi vyote unavyojiunga] kwa urahisi na haraka;
→utaweza kuzitunza namba hizo kwa lebo za vifupisho (Abbreviations) rahisi.

2. Namna ya kutumia mbinu ya P2P-SP; kuwashirikisha na kuwatangazia watu wengi wanaotumia Whatsapp, kwa urahisi kuhusu biashara au huduma yako—kupitia namba ulizotunza [kwa lebo za vifupisho rahisi].

Utakapolipia kiasi cha shilingi elfu mbili mia tano (5,500/-):


  • Utatumiwa audio za kila kipengele [inbox kwako].
  • Utatumiwa kitabu cha PDF chenye maelekezo yote.
  • Na utaunganishwa kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04].—kwa ajili ya kujibiwa maswali yoyote unayoweza kuwa nayo.


Ili kuanza programu hili leo, toa taarifa sasa kwa namba 0743517138 [ipo Whatsapp pia] au unganishwa kwenye kundi (group) letu kwa kufungua HAPA.



Tuesday, July 14, 2020

KUANZIA WATEJA 500 KILA MWEZI—KUPITIA WHATSAPP.

—•••—$—
—•••—$—
KUTENGENEZA UHAKIKA WA KUWA NA WATEJA KUANZIA MIA TANO (500)—KILA MWEZI—KUPITIA WHATSAPP.



MAELEZO YA UFAFANUZI MZURI KUHUSU PROGRAMU HII._
Ikiwa unasoma dokumenti hii ninaamini kabisa kwamba; wewe ni miongoni mwa watu wachache, wanaohitaji kupata njia bora zaidi ya kunufaika na upatikanaji mzuri wa wateja wengi—wa uhakika kupitia Whatsapp. Najisikia furaha kukuthibitishia kuwa umefika mahali sahihi.

Katika kuitumia Whatsapp, watu mbalimbali wanaielewa kwa namna tofauti tofauti. Biashara yoyote nzuri hapa duniani inahitaji watu. Siku zote ukifika katika mazingira ambayo unaweza kupata mawasiliano ya watu moja kwa moja, ni rahisi sana kujenga mkakati wa kuwafikia kwa mpango mzuri unaoeleweka; kwa sababu mawasiliano ya watu hao yapo mikononi mwako. 

Sifa mojawapo nzuri, kati ya sifa kadhaa za Messenger ya WhatsApp ni kwamba; ukiwa WhatsApp, unaweza kuona na kupata namba za simu za watu mbalimbali—moja kwa moja. Watu wengine hawajatambua namna ya kuitumia fursa hii [ya kuwa na uwezekano wa kupata namba za watu wengi—moja kwa moja]. 

Watu wengine wanakuwepo kwenye vikundi vingi kabisa vya Whatsapp, lakini bado wanahangaika kutafuta wateja wa biashara zao. Kila biashara uliyonayo [biashara yoyote], kuna wateja wako wengi na wa uhakika kabisa—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp.

Hatuwezi kuamini wala kusema kwamba; watu wote (mamilioni ya watu) wanaotumia Whatsapp, hakuna wanaohitaji huduma au bidhaa zako kabisa. Kwani Whatsapp kama Whatsapp ina ugomvi wowote na biashara yako?. 
Watu (binadamu) unaohitaji wawe wateja wako ni walewale. Miongoni mwa wateja wako wengi, wapo pia wanaopatikana kwa urahisi sana kupitia mtandao—na urahisi zaidi sasa upo kwenye Whatsapp [kwa sababu inakupa namba za simu za watumiaji wengi—moja kwa moja].

Natamani sana; uwe miongoni mwa watu wachache wanaojali na kuthamini maelekezo ya siri hizi, ninazotaka kushirikisha kwako. Ukiwa tayari kuyasikiliza kwa utulivu, utabadilisha hali ya biashara yako kwa namna itakayokushangaza sana.

Ili kukuthibitishia kwa vitendo; namna utakavyoweza kunufaika na mpango /programu hii, napenda kukuonyesha orodha ya mambo utakayopata uwezo wa kuyafanya—katika kuingia ulimwengu mwingine kabisa. Ulimwengu utakaoingia ni wa kufahamu na kutumia mbinu bora zaidi za kuongeza ufanisi; katika upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia Whatsapp. Mambo hayo ni:
  1. Namna ya kutengeneza mfumo wa uhakika wa kuwa na wateja kwanzia 500—karibu kila mwezi [kupitia Whatsapp].
  2. Kupewa namba za simu 1126 zilizopo Whatsapp—kwa ajili ya kufanya jaribio kwa vitendo—ndani ya siku 20.
  3. usaidiwa kukusanya na kusevu namba nyingine zaidi [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp].
  4. Kitabu [softcopy, PDF] chenye maelekezo ya kina—kwa kila jambo linaloelekezwa kwenye programu hii.


Naomba nikupe ufafanuzi kwa ufupi sana; kwa kila jambo nililoliorodhesha hapo juu.

1) Namna nzuri ya kutumia namba za WhatsApp; kutengeneza mfumo wa uhakika wa kuwa na wateja kwanzia 500—karibu kila mwezi.
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Kwanza kabisa utapata maelekezo ya namna ya kutumia mbinu ya kujenga uaminifu na mawasiliano mazuri—kwa watu wengi, ndani ya muda mfupi. Hapa tunaelekeza mbinu moja inaitwa 'P2P Sales Prospecting'. Mazingira ya mtu kukwamini kiasi cha kujisikia huru na kuridhika kununua kwako au kuhudumiwa na wewe ndiyo jambo linatakiwa kutiliwa mkazo—katika kukupatia wateja wengi na wa uhakika—kila siku.

2) Kupewa namba za simu 1126 zilizopo Whatsapp—kwa ajili ya kufanya jaribio kwa vitendo—ndani ya siku 20.
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Tunazo namba nyingi sana za WhatsApp, ambazo tumekuwa tukizikusanya na kuzisevu [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp] —kwa ajili yetu na wateja wetu; ili kurahisisha upatikanaji wa wateja wetu waliopo mtandaoni—kwa kupitia Whatsapp. Hii ni kwa sababu, tunayo njia nzuri na rahisi ya kukusanya na kusevu namba nyingi (zote) za washirika wote, wa vikundi vyote vya Whatsapp unavyokuwemo ndani yake—na baadhi ya vile vikundi usivyokuwemo ndani yake [maelekezo yapo pia].

Kwa jambo hili tutakutumia namba za watu 1126 inbox kwako, zikiwa zimeseviwa tayari. Ili, kwa kufuata maelekezo yetu [yanayotolewa kwa audio zilizorekodiwa tayari, kitabu chetu kidogo (softcopy, PDF) na maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi chetu Whatsapp], uweze kutumia mbinu ya 'P2P Sales Prospecting' kwa vitendo—kupitia namba hizo; ndani ya muda wa siku 20.

Tunakaridiria kuwa ukitumia mbinu hiyo  [P2P Sales Prospecting] vizuri, kama tulivyoelekeza; asilimia 44.44 (44.44%) ya hao watu 1126 utakaowafikia, ni watu 500 [44.44% ya 1126 = 500] ambao wanaweza kuwa wateja wako.

Tumeweka siku ishirini (20) za majaribio kwa maana hii; kila siku utatenga muda wa masaa mawili (dakika 120) kuwafikia watu hamsini na sita (56). Utaelewa vizuri kwenye maelekezo ya utumiaji wa mbinu ya 'P2P Sales Prospecting' kwenye namba hizo.

Kuwafikia watu 56 ndani ya masaa mawili ni sawa na kutumia dakika mbili (2 minutes) kwa mtu mmoja. Baada ya siku ishirini, utakuwa umewafikia watu elfu moja mia moja ishirini (1120). Kati ya hao, ndani ya huo mwezi (siku 20 za kufanya hivyo), unaweza kuwa na uhakika wa asilimia 44.44 (watu 500) kuwa wateja wako. Kuna maboresho mengine mengi mazuri tuyoweza kukuelekeza kuyafanya, lakini tunatamani sana uanze kwa jaribio hilo kwanza. 

3) Kusaidiwa kukusanya na kusevu namba nyingine zaidi [kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp].
—••—Mpango huu unawezekana vipi? Baada ya kuona manufaa makubwa ya uhakika katika kufuata maelekezo yetu mazuri katika programu hii; utakuwa na kazi moja tu nzuri na rahisi—katika kuingia ulimwengu mwingine kabisa. 

Utatakiwa tu kusaidiwa kukusanya na kuhifadhi (kusevu) namba nyingi sana za watumiaji wa whatsapp [idadi unayohitaji mwenyewe] kutoka katika vikundi mbalimbali vya Whatsapp. Hii ni kwa sababu, ukiwa kwenye vikundi mbalimbali vya Whatsapp; namba za washirika wote zinaonekana moja kwa moja, ni wewe tu kutimiza mpango huo wa kuzikusanya na kuzisevu kwenye e-mail yako. Tunayo pia maelekezo ya namna hiyo ya kukusanya na kusevu namba hizo mwenyewe.

4) Kitabu [softcopy, PDF] chenye maelekezo ya kina—kwa kila jambo linaloelekezwa kwenye programu hii.

—••—Kitabu hiki kinakusaidia vipi? Kwanza kabisa kitabu chetu kipo katika fomati ya kielektroniki [softcopy, PDF], kiasi kwamba unaweza kukipata kupitia Whatsapp na kukisoma kwenye simu au kompyuta yako mahali popote ulipo, wakati wowote unapohitaji kufahamu zaidi kuhusu jambo fulani. Kitabu chetu kina kurasa 58 tu, na ndani kuna vipengele tofauti tofauti kulingana na mpangilio wa orodha ya yale yaliyomo. Kina maelekezo yote, kwa kina sana.

Sambamba na hilo, yale yaliyomo kwenye kitabu hicho yametengenezewa audio pia, ambazo tayari zimerekodiwa vizuri (mp3). Kitabu pamoja na audio hizo [za kila kipengele] hutumwa inbox kwako—kwa WhatsApp; Mara tu baada ya wewe kulipia programu hii, kwa kiasi cha shilingi elfu tano mia tano tu (Tsh 5500/-). 

Lakini pia baada ya kulipia kiasi hicho, unaunganishwa kwenye kikundi chetu cha Whatsapp; ili uwe unauliza moja kwa moja kwenye kikundi chetu, maeneo unayohitaji kufahamu na kuelewa zaidi. Kikundi chetu cha Whatsapp kinaitwa 'Multifarious Knowledge House 04'. 

Ikiwa unahitaji kuianza programu hii, nitaarifu kwa namba 0743517138 au ikiwa kwa wakati huu unatumia WHATSAPP, njoo inbox kwangu moja kwa moja kwa KUFUNGUA HAPA.

BEI: Tsh 5500.
FOMATI: Audio & PDF.
IDADI YA KURASA [PDF]: 58.
UPATIKANAJI: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

~~KARIBU SANA RAFIKI.

~~na kama hauna biashara yoyote ya kukufanya unufaike na uwepo wa wateja wengi na wa uhakika kupitia Whatsapp, unaweza kutueleza pia kwa KUFUNGUA HAPA au kwa namba 0743517138/ 0657178911. Tunayo maelekezo ya jambo rahisi unaloweza kuanza kulifanya [kwa kutumia Smartphone yako][HAPA], na likakupatia wateja wako wa uhakika—mtandaoni, kupitia Whatsapp.




KITABU CHETU ↓↓↓↓↓°








Ukihitaji kujifunza maarifa haya na unatumia Whatsapp hivi sasa, unaweza kutoa taarifa kwa kuja INBOX MOJA KWA MOJA— KWA KUFUNGUA HAPA.

Tuesday, July 7, 2020

MAARIFA YENYE TIJA NA THAMANI—KWA NYAKATI HIZI.


EMMANUEL ONLINE STORE AND LIBRARY (EOSL 77).


—••—Katika kukuelekeza mambo haya; tunatumia audio zilizorekodiwa vizuri (mp3), vitabu vidogo vidogo [Softcopy, PDF] na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi vyetu vya WhatsApp (WhatsApp Groups).



—••—Njia zetu zinakusaidia kupata uwezo wa kuanza kuyatumia maarifa haya ndani ya muda wa siku chache sana [siku 5 hadi 7], kwa kila programu husika.

—••—Maelekezo ya namna ya kupata maarifa ya programu husika yapo mwishoni. Mwisho wa orodha hii ya programu hizi. Ukiwa mtumiaji wa Whatsapp, itakuwa rahisi sana. Karibu. 

Kwa sasa tumezipa kipaumbele programu kumi (P# 01 hadi P# 10). ANGALIA HADI MWISHO NA UCHAGUE UNAYOHITAJI KUANZA NAYO KWA SASA. Maarifa utakayoyapata kwetu ni:


  1. Duka Lako Rahisi la Mtandaoni.
  2. Picha za Graphics—Kuzitengeneza Mwenyewe kwa kutumia Smartphone yako. [HAPA]
  3. UPATIKANAJI Wa Wateja Wengi Waliopo Whatsapp. [HAPA]
  4. Miliki shule yako ndogo na rahisi—mtandaoni.
  5. Kuuza Maandishi Yako—Mtandaoni.
  6. Andika Kwa Mkono na Uuzie Mtandaoni. 
  7. Advanced Stationery Skills.
  8. Fahamu Kuwafungulia Wengine Chaneli za Youtube.
  9. Wateja Wako Siyo Hao Tu.
  10. Namna ya kufungua blogu yako rahisi—mwenyewe. —Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.

Maelekezo ya kila programu yapo hapa chini; angalia hadi mwisho na uchague ile unayohitaji.

P# 01:          
1. DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.
$—€—Your Simple Online Shop (YSOS 77).




UTANGULIZI KWA UFUPI: 
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu  kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.

YALIYOMO:
  1. Duka la mtandaoni ni nini?
  2. Kila kitu kinaweza kuuzwa kwa mtandao wa Intaneti 
  3. Upatikanaji wa wateja wako wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp [Kwa biashara yako yoyote].
  4. Kuweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [—Ili litembee kwa urahisi sana—mtandaoni].
Bei: Tsh 6000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 25.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 02:          
2. PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.


UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. 
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.

YALIYOMO:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2. Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3.  Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Bei: Tsh 4500.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 03:          
3. WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.






—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).
—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.

UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unawapata kwa wakati huu].

YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 5500
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 04:           
4. MILIKI SHULE YAKO NDOGO NA RAHISI—MTANDAONI.

★—$—Namna rahisi ya kuigeuza blogu yako ya bure na kuanza kuitumia kama SHULE YAKO RAHISI YA MTANDAONI.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako kizuri sana—mtandaoni. Kuna namna nzuri sana ya kuuza video, audio, picha na maandishi (vitabu/dokumenti) yenye maarifa yanayohitajika na kutafutwa sana na watu wengi waliopo mtandaoni. 

YALIYOMO:
  1. Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni.
  2. Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni.
  3. Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure.
  4. Unapata wapi wateja au wanafunzi wako?
Bei: Tsh 4000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 114.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 05:           
5. KUUZA MAANDISHI YAKO—MTANDAONI.
CODE: Selling Your Documents (PDF) Online (SYDO 77).
★—$—The Simplest Way To Start Selling Your Documents (PDF)—Online.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa ya mawazo yenye tija—yanayokuja kila siku kwenye akili yako, yanahitajika sana na watu wengi sana waliopo mtandaoni. Mtandaoni kuna mamilioni ya watu wanaoweza kukulipa kwa maarifa yenye tija, uliyonayo. Lakini pia, najua unao uzoefu mzuri sana katika jambo fulani ambalo lina manufaa makubwa kwa wengine pia. 

YALIYOMO:
  1. Urahisi uliopo hivi sasa —katika kuuza maandishi/vitabu vyako mtandaoni.
  2. Njia rahisi ya kuandika dokumenti au vitabu vyako kwa haraka—Kwa simujanja (Smartphone) yako tu.
  3. Kwa nini ni vyema pia uuzie mtandaoni?
  4. Blogu nzuri na rahisi ya kuanza nayo —katika kuuza dokumenti au vitabu vyako.
  5. Mbinu nzuri na rahisi ya kuwatambua, kuwafikia na kufaidi wateja wengi wa maandishi/vitabu vyako—mtandaoni.
Bei: Tsh 5000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 38.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 06;           
6. ANDIKA KWA MKONO NA UUZIE MTANDAONI.



UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wenye mwandiko mzuri wa maandishi ya kuandikwa kwa mkono; unayo fursa nzuri sana ya kuandika maandishi ya maarifa mbalimbali, aidha kwenye taaluma fulani uliyonayo au mafundisho yanayohitajika na watu wengi sana. Kwa sababu pia utapata maarifa ya namna nzuri ya kuuza maandishi hayo mtandaoni, utakuwa na uwanja mkubwa wa wateja wengi sana—wasio na idadi, walipo kwenye mtandao wa intaneti. 

Utaelekezwa namna ya kutengeneza na kupata dokumenti nzuri sana, inayotokana na picha nzuri za kurasa ulizoandika kwa mkono. 
YALIYOMO:
  1. Kazi za vifaa maalum kwa ajili ya kufanikisha uuzaji wa maandishi yako mtandaoni, uliyoyaandika kwa mwandiko wa mkono.
  2. Mfumo rahisi wa mtandaoni utakaokusaidia kufanikisha uuzaji huo bila gharama kubwa.
  3. Ubora utakaokupeleka mbali na kukuingiza kwenye mpango mkubwa wa blogu na mitandao ya kijamii.
  4. Namna ya kuwafahamisha wahitaji wa maandishi yako kuwa upo mtandaoni (njia nzuri za kuwatambua na kuwafikia wateja wako.
  5. Maoni mengine kutoka kwa mwandishi.
Bei: Tsh 7,000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 35.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 07:           
7. ADVANCED STATIONERY SKILLS.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Hivi sasa, watu wanaohitaji kuandikiwa kazi mbalimbali za maandishi (dokumenti)—kwa haraka, ni wengi sana. Idadi yao haiwiani na watoaji wa huduma hii. 
Ukifahamu namna unavyoweza kuwahudumia watu hawa na kuwapatia kazi zao hata kwa njia ya mtandao wa intaneti, utakuwa miongoni mwa watu wachache wanaingiza sehemu ya kipato chao—kwa kuwasaidia watu wengi sana mtandaoni, kuandika kazi za maandishi na kuwatumia wakiwa kule waliko; katika fomati ya kielektroniki [softcopy, PDF/word & post] —kwa Whatsapp au baruapepe (e-mail).

YALIYOMO:
  1. Kufanya kazi za Stationery Mtandaoni ni nini?
  2. Kwa nini simu janja (Smartphone) yako ni kifaa muhimu katika kufanikisha kazi zako za stationery kwa njia ya mtandao?
  3. Apps muhimu za kuwezesha kwenye simu Janja (Smartphone) yako kurahisisha kazi zako [Urahisi kuliko ulivyodhani].
  4. Namna ya kuwahudumia wateja walio mbali kupitia mtandao.
  5. Namna gani na wapi upate link salama ya kupokelea malipo ya wateja wako walio mbali mtandaoni?
  6. Nyongeza kutoka kwa mwalimu na mwandishi.
Bei: Tsh 3500.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 62.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 08:          
8. FAHAMU KUWAFUNGULIA WENGINE CHANELI ZA YOUTUBE.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
—••—Kama yalivyo majukwaa mengine ya mitandao ya kijamii, Youtube imepata umaarufu mkubwa pia. Youtube imekuwa mahali pazuri unapoweza kuweka video zako za mafundisho mbalimbali au video fupi fupi zinazotangaza biashara au huduma yako, na kuwapeleka watazamaji wako kwenye maeneo yako mengine—mtandaoni. 

Pamoja na umuhimu wa kufanya mambo hayo, bado kuna watu wanatamani kuwa na chaneli lakini hawafahamu chochote kuhusu namna rahisi ya kufungua chaneli [—japo ni jambo rahisi sana, ukifuata maelekezo sahihi]. Ukipata maarifa haya; utakuwa miongoni mwa watu wachache wanaoingiza sehemu ya kipato chao kwa kuwafungulia wengine chaneli [hata wakiwa mbali].

YALIYOMO:
  1. Namna ya kufungua channel kwa kutumia simu janja (smartphone) (App inayofaa kwa kazi hii).
  2. Ukweli kwa ufupi kuhusu kuingiza Pesa kupitia chaneli ya Youtube.
  3. Namna ya kufungua channel kwa ajili ya wengine kwa kutumia smartphone, hata wakiwa mbali
Bei: Tsh 5,000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 09:           
9. WATEJA WAKO SIYO HAO TU.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Hivi sasa kila kitu au bidhaa ya biashara yoyote uliyonayo inaweza kutangazwa na  kuuzwa kupitia mtandao wa intaneti. Pia zipo huduma nyingi unazoweza kutoa kwa kupitia intaneti. Mtandaoni kuna watu wengi sana na wenye mapendeleo na mahitaji tofauti tofauti [—kuna mamilioni ya watu].

YALIYOMO:
  1. Siri kuhusu wateja wengi wasio na idadi [idadi kubwa mno] mtandaoni.
  2. Namna nzuri ya kuwa na watu wengi wa kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako mtandaoni.
  3. Njia nzuri za kuwatangazia na kuwashirikisha watu wengi biashara yako mtandaoni. →→→Namna ya kuhifadhi (saving) namba za washirika wote wa makundi mbalimbali ya whatsapp. →→→Njia nzuri za kuwatangazia watu uliohifadhi namba zao za wasapu—na faida zake. →→→Kutuma tangazo au taarifa ya mwaliko,kwa watu wako wengi.
  4. Maoni ya uhakika kuhusu maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa halisi zinazoshikika (tangible/physical products) katika maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital products) katika maduka ya mtandaoni.
  5. Duka rahisi linalotembea mtandaoni kwa kubebwa kwenye dokumenti ya PDF.
Bei: Tsh 6,000
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 75.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





P# 10:           
10. NAMNA YA KUFUNGUA BLOGU YAKO RAHISI—MWENYEWE.
—Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Pengine hauna maarifa ya lugha ya kompyuta (Programming) kwa ajili ya kutengenezea blogu yako mwenyewe; lakini katika maarifa yaliyowasilishwa humu, kwenye kitabu kidogo chenye maelekezo mazuri, utaelekezwa namna rahisi [hatua kwa hatua—kwa msaada wa picha] katika kutumia majukwaa ya mtandaoni kufungua blogu yako ndogo na rahisi. Majukwaa ya mtandaoni [Platforms]; yapo kwa ajili ya watu ambao hawana maarifa yoyote juu ya lugha ya kompyuta katika kubuni tovuti au blogu, na wanahitaji blogu ndogo na rahisi za kutumia.

Katika kitabu hiki rahisi; unapata maelekezo ya hatua kwa hatua, unapofungua blogu yako ndogo na rahisi kwenye majukwaa mawili maarufu: Blogspot na WordPress.

YALIYOMO:
  1. Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la Blogspot.
  2. Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la WordPress.
Bei: Tsh 3500
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 28.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.


★★★★★
★—•••UNAWEZA KUZIPATA HATA SASA, WAKATI NDIYO HUU.
Ikiwa unahitaji maarifa yaliyopo kwenye programu yoyote hapo juu; nitaarifu kwa namba 0743517138 au ikiwa unatumia WhatsApp wakati huu fungua kwa KUGUSA HAPA [CLICK].




POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]


online-office-08

MAANA YA GRAPHICS NA MAARIFA YA KUZITENGENEZA/KUBUNI.


Pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao hawafahamu 'graphics' ni nini. Kama unafahamu ni vizuri pia. Ila kama haufahamu naomba nitoe ufafanuzi wake kwa ufupi.

Picha za graphics ni picha zote ambazo zinabuniwa/kutengenezewa kwa kupambwa kwa maandishi yenye muonekano unaovutia pamoja na muunganiko wa picha nyingine nyingi/kadhaa zinazoweza kuwekwa kwenye picha moja—ili ionekane kuvutia zaidi.

Kuna mifano mingi sana ya picha za graphics. Baadhi ya mifano ya picha za aina hii ni: picha za matangazo mbalimbali ya biashara, kampuni au bidhaa fulani [zinazoweza kubandikwa kwenye makopo ya bidhaa husika, au kutembezwa na kuwekwa maeneo mbalimbali mtandaoni n.k.].

Mifano mingine ni picha zinazotumika kutangaza uwepo wa matukio mbalimbali kama vile tamasha, mikutano ya injili, uchaguzi na matukio mengine mengi. Vile vile graphics nyingine ni makava ya vitabu, business cards, picha za utambulisho kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, Whatsapp na YouTube [zilioongezewa madoido]. Lakini pia mifano mingine ni logo za tovuti au blogu, picha zilizo nje ya daftari tunazonunua kila siku [unaweza kuona zimepambwa kwa maandishi tofauti tofauti na picha ya mtu kuwekwa mahali hapo pia]. 

Iko mifano mingi sana. Hivi sasa, karibu kila mahali tunapokuwa kuna picha ya graphic karibu yetu. Hii ni kwa sababu picha hizi zinahitajika na kutumika maeneo mengi sana.

Picha zozote unazoziona zimetengenezwa kwa kuunganisha picha tofauti tofauti mahali pamoja na hata kuhusisha uwepo wa maandishi yenye muonekano unaovutia zaidi, hizo ndizo tunaziita graphics.

Hebu angalia, hata hizi picha tatu ulizoziona kwenye posti hii unayoisoma saa hizi ni picha za graphics.
Mifano mingine tumeiweka kwenye posti mojawapo ya blogu yetu, unaweza kuziangalia kwenye blogu hiyo kwa kufungua HAPA.

Sasa basi, unapoziona picha hizo tambua pia kuwa kuna namna ya kuzitengeneza. Kuna programu na Apps za aina tofauti tofauti zinazoweza kutumika kutengeneza picha hizi. Zipo Apps zinazofanya kazi vizuri kwenye kompyuta, lakini pia zipo zinazofanya kazi vizuri kwenye simujanja (smartphone) pia. Ikiwa unatamani kufahamu namna nzuri ya kuzitengeneza picha hizo, unahitaji tu kupata maarifa ya msingi na kuanza kuzitengeneza.

Nilisukumwa kuanza kuwaelekeza watu namna ya kubuni na kutengeneza picha hizi kwa sababu; Picha hizi zinahitajika sana, na idadi ya watu wanaotengeneza ni ndogo ukilinganisha na uhitaji wake. Ukipata maarifa haya muhimu utakuwa miongoni mwa watu wanaotengeneza picha hizi na kuziuza kwa watu wengi sana. 

Ili kuwafikia watu wengi zaidi, nimetoa pia na maelekezo ya namna ya kuwafikia watu wengi [wateja wa Graphics] waliopo mtandaoni—kwa urahisi sana kupitia Whatsapp.

Tumetumia audio za maelekezo ya hatua kwa hatua, tuna kitabu cha PDF (softcopy) cha maelekezo yote [kwa lugha ya kiswahili] na maelekezo ya moja kwa moja—kwenye kikundi chetu cha Whatsapp (Multifarious Knowledge House 04). 
BEI: Tsh 4500.
FOMATI: Audio & PDF.
IDADI YA KURASA [PDF]: 31.
UPATIKANAJI: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

Ukiwa na shauku kubwa ya kujifunza maarifa ya msingi juu ya jambo hili, utaanza kutengeneza picha hizo ndani ya siku chache mno (siku 5 hadi 7). Hii ni kutokana na mpangilio wetu wa maelekezo haya na njia tunazotumia kukuelekeza. Karibu sana.


UNAHITAJI KUANZA KUJIFUNZA LEO? ILI NDANI YA SIKU CHACHE KWANZIA LEO UWE UMEANZA KUBUNI NA KUTENGENEZA GRAPHICS NZURI, KWA SMARTPHONE YAKO? NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU MOJA KWA MOJA—KWA KUFUNGUA HAPA.

Mifano mingine ya picha hizo iko HAPA.


MAARIFA HAYA YANAPATIKANA KWA NJIA YA WHATSAPP, KWA AUDIO ZILIZOREKODIWA TAYARI (mp3), KITABU CHENYE MAELEKEZO YOTE KWA MSAADA WA PICHA ZA HATUA ZOTE, NA MAELEKEZO YA MOJA KWA MOJA KWENYE KIKUNDI CHETU CHA WHATSAPP (MULTIFARIOUS KNOWLEDGE HOUSE 04) [HAPA].

KUJIUNGA NA KIKUNDI CHA WHATSAPP FUNGUA KWA KIGUSA HAPA [CLICK]

MAARIFA RAHISI YENYE FAIDA KUBWA— [NYAKATI HIZI].



PROGRAMU ZETU MBILI; ZENYE MAARIFA RAHISI SANA KUJIFUNZA—WAKATI YANA TIJA SANA KWA NYAKATI HIZI TULIZONAZO.

—•••—$ijawa mchoyo, nimetamani wewe unayejali mambo haya uingie kwenye ulimwengu huu tena. Nimeweka bei ndogo sana, ukilinganisha na kile utakachokipata—hautajutia. Ni wewe tu kuamua kujifunza. Kwa programu ya kwanza ni ndani ya siku chache tu (5 hadi 7), utaanza kutengeneza picha nzuri sana za graphics.


Kati ya programu zetu kumi (10) za maarifa yenye thamani na tija sana kwa nyakati hizi, tumeona watu wengi wanachagua hizi mbili; ambazo ndiyo fokasi yetu hapa kwa sasa.

Zinatolewa kwa namna nzuri na rahisi  za kukusaidia kuelewa kwa wepesi sana; tunatumia:
• Audio za kila kipengele [ambazo tayari zimerekodiwa vizuri [mp3].
• Vitabu vidogo vidogo vya PDF (softcopy)—unavipokea kwa WhatsApp.
• Maelekezo ya moja kwa moja kwenye kundi letu la Whatsapp [Multifarious Knowledge House 04]

PROGRAM HIZI MBILI NI:
  1.  PROGRAMU YA MAARIFA YA GRAPHICS [Kwa smartphone yako].
  2. PROGRAMU YA MAARIFA YA KUONGEZA UFANISI WA UPATIKANAJI WA WATEJA WA UHAKIKA—KUPITIA WHATSAPP.



PROGRAMU YA GRAPHICS.       
2. PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.



UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. 
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.

YALIYOMO:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2. Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3.  Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Bei: Tsh 4500.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
Baadhi ya mifano ya graphics hizo iko [HAPA]}}Click to see!



PROGRAMU YA WATEJA WALIOPO WHATSAPP.          
3. WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.



—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).
—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.

UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unawapata kwa wakati huu].

YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 5,500
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.



UPATIKANAJI WA WATEJA WENGI NA WA UHAKIKA—Kwa Whatsapp

WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP.
—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).

—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.



UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unaowaona na kuwapata kwa wakati huu].

Utafahamu uhalisia wa tofauti iliyopo kati ya wateja wanaokutafuta wenyewe leo [saa hizi] na wateja wengi na wa uhakika unaotakiwa kuwaandaa mwenyewe, ili wanunue katika siku za usoni.

Wateja wengine, tena wengi, wanaweza kuandaliwa (kutengenezewa mazingira ya kununua) na muuzaji mwenyewe.

Ukiwa na idadi kubwa ya namba za watumiaji wa whatsapp, unao wateja wasio na kikomo.



YALIYOMO:
  1. Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
  2. Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
  3. Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Bei: Tsh 5,500
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.

Maarifa haya yanatolewa kwa urahisi kabisa kupitia Whatsapp. Utakapolipia TSH  elfu tatu (Tsh 5,500/-);

1. Utaunganishwa kwenye kikundi chetu cha Whatsapp [kwa ajili ya maelekezo ya moja kwa moja. —Bila ukomo wa kuwepo.

2. Utatumiwa audio za kila kipengele, inbox kwako (kama ilivyoonyeshwa hapo juu).


3. Utatumiwa [inbox kwako] kitabu chetu kizuri chenye maelekezo yote, na hatua zote kwa msaada wa picha na maelezo.