Tuesday, July 7, 2020

e-onlineoffice-12

P# 10:           
10. NAMNA YA KUFUNGUA BLOGU YAKO RAHISI—MWENYEWE.
—Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Pengine hauna maarifa ya lugha ya kompyuta (Programming) kwa ajili ya kutengenezea blogu yako mwenyewe; lakini katika maarifa yaliyowasilishwa humu, kwenye kitabu kidogo chenye maelekezo mazuri, utaelekezwa namna rahisi [hatua kwa hatua—kwa msaada wa picha] katika kutumia majukwaa ya mtandaoni kufungua blogu yako ndogo na rahisi. Majukwaa ya mtandaoni [Platforms]; yapo kwa ajili ya watu ambao hawana maarifa yoyote juu ya lugha ya kompyuta katika kubuni tovuti au blogu, na wanahitaji blogu ndogo na rahisi za kutumia.

Katika kitabu hiki rahisi; unapata maelekezo ya hatua kwa hatua, unapofungua blogu yako ndogo na rahisi kwenye majukwaa mawili maarufu: Blogspot na WordPress.

YALIYOMO:
  1. Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la Blogspot.
  2. Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la WordPress.
Bei: Tsh 3,500
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 28.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.


★★★★★
★—•••UNAWEZA KUIPATA HATA SASA, WAKATI NDIYO HUU.

—$—€—Ukihitaji kulipia programu hii kwa ; namba yetu ya malipo ni 0657178911—Emmanuel Kimanisha. . 


POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]


No comments:

Post a Comment