Tuesday, July 7, 2020

e-onlineoffice 09

P# 06;           
6. ANDIKA KWA MKONO NA UUZIE MTANDAONI.



UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wenye mwandiko mzuri wa maandishi ya kuandikwa kwa mkono; unayo fursa nzuri sana ya kuandika maandishi ya maarifa mbalimbali, aidha kwenye taaluma fulani uliyonayo au mafundisho yanayohitajika na watu wengi sana. Kwa sababu pia utapata maarifa ya namna nzuri ya kuuza maandishi hayo mtandaoni, utakuwa na uwanja mkubwa wa wateja wengi sana—wasio na idadi, walipo kwenye mtandao wa intaneti. 

Utaelekezwa namna ya kutengeneza na kupata dokumenti nzuri sana, inayotokana na picha nzuri za kurasa ulizoandika kwa mkono. Utaelekezwa namna ya kufanya scanning nzuri sana ya picha hizo [za kurasa ulizoandika kwa mkono], kwa vifaa rahisi ulivyonavyo hata sasa. Utaweza kupata blogu yako ndogo na rahisi kwa ajili kuweka posti zinazotangaza dokumenti zako.

YALIYOMO:
  1. Kazi za vifaa maalum kwa ajili ya kufanikisha uuzaji wa maandishi yako mtandaoni, uliyoyaandika kwa mwandiko wa mkono.
  2. Mfumo rahisi wa mtandaoni utakaokusaidia kufanikisha uuzaji huo bila gharama kubwa.
  3. Ubora utakaokupeleka mbali na kukuingiza kwenye mpango mkubwa wa blogu na mitandao ya kijamii.
  4. Namna ya kuwafahamisha wahitaji wa maandishi yako kuwa upo mtandaoni (njia nzuri za kuwatambua na kuwafikia wateja wako.
  5. Maoni mengine kutoka kwa mwandishi.
Bei: Tsh 7000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 35.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.





—$—€—Ukihitaji kulipia programu hii kwa ; namba yetu ya malipo ni 0657178911—Emmanuel Kimanisha. . 


POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]


No comments:

Post a Comment