Tuesday, July 7, 2020

e-onlineoffice 07

P# 04:           
4. MILIKI SHULE YAKO NDOGO NA RAHISI—MTANDAONI.

★—$—Namna rahisi ya kuigeuza blogu yako ya bure na kuanza kuitumia kama SHULE YAKO RAHISI YA MTANDAONI.




UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako kizuri sana—mtandaoni. Kuna namna nzuri sana ya kuuza video, audio, picha na maandishi (vitabu/dokumenti) yenye maarifa yanayohitajika na kutafutwa sana na watu wengi waliopo mtandaoni. 

Popote ulipo na katika kiwango chochote ulichonacho, haijalishi—nitakupa maelekezo ya namna nzuri ya kuanza kufanya jambo hili. Kabla haujaingia kwenye mipango mikubwa ya kutumia majukwaa ya kimataifa [—kama vile: ]; yaliyopo kwa ajili ya kufungua tovuti rasmi zenye sifa ya kutumika kama shule za mtandaoni, ni vyema uanze na njia rahisi. Utaelekezwa namna nzuri na rahisi ya kuanza kwa kuitumia blogu ndogo ya bure kama shule yako ya mtandaoni. Pia utapata maarifa ya kuiunganisha blogu yako rahisi na namba yako ya Whatsapp, bila kusahau namna ya kuyaunganisha hayo na chaneli yako ya Youtube—itakayotumika kutangazia tu (kwa clip fupi fupi)—kuhusu yale yaliyopo kwenye programu zako.

YALIYOMO:
  1. Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni.
  2. Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni.
  3. Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure.
  4. Unapata wapi wateja au wanafunzi wako?
Bei: Tsh 4000.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 114.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.




—$—€—Ukihitaji kulipia programu hii kwa ; namba yetu ya malipo ni 0657178911—Emmanuel Kimanisha. . 


POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]


No comments:

Post a Comment